Wadau mbalimbali wa soka nchini wamegawanyika kuhusu makosa yanayojirudia ya waamuzi wanaocheza Ligi Kuu Bara, baadhi ...
Simba itawakosa wachezaji wake Moussa Camara na Che Malone Fondoh katika mchezo wake wa Ligi Kuu kesho Jumamosi, Februari 28, ...
Dar/mikoani. Wakati mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan ukitarajiwa kuanza, waumini wa dini ya Kiislam wameaswa kutumia ...
Mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameanza maisha yake vyema katika kikosi hicho tangu ajiunge nacho dirisha ...
Pamba Jiji ni wazi bado inakumbuka kipigo cha mabao 4-0 ilichopewa na Yanga Oktoba 3 mwaka jana katika mechi ya duru la ...
Simba ya msimu huu chini ya Kocha Fadlu Davids imeonekana moto, ikiusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kulikosa kwa misimu mitatu mfululizo, lakini ikiwa timu pekee iliyosalia katika ...
Tukio la Gather25 lina dhamira ya kuimarisha umoja wa Wakristo kutoka madhehebu, tamaduni na lugha tofauti kwa kusherehekea imani yao na kuchochea ari ya kiroho.
Wakati kukiwa na vilio vya kumomonyoka kwa maadili ya Kitanzania karibu kila kona ya nchi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania ...
Viongozi wakuu na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamejitokeza kwa wingi makao makuu ya chama hicho ...
Mgogoro unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umechukua sura mpya baada ya Rwanda ...
Watu wengi wanaoishi na kisukari hukumbana na tatizo la mabadiliko ya ghafla ya kihisia, maarufu kama ‘mood swings’.
Wataalamu na washauri mbalimbali wa afya na saikolojia wanafichua kuwa uogeleaji ni jambo muhimu na lenye manufaa chungu nzima.