“SERIKALI inaruhusu kisheria ufugaji wa wanyamapori wakiwamo fi si, lakini kanuni na sheria haziruhusu kufuga mnyamapori ...
TIMU ya Simba imekuja na kampeni ya kutafuta pointi 30 katika michezo 10 iliyobaki kushinda ubingwa Ligi Kuu Tanzania Bara.
OPERESHENI za bandari nchini Tanzania zimepiga hatua kubwa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ...
Wakati Pamba Jiji wakiwa wenyeji wa Yanga, Tabora United wataikaribisha Dodoma Jiji, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Balozi mstaafu, Dk Wilbroad Slaa (76) baada ya Mkurungenzi wa Mashtaka nchini ...
Ni dhahiri kuwa wananchi wa Mkoa wa Tanga wana deni kubwa kwa Rais Samia na serikali yake, na jinsi ya kulilipa ni pamoja na ...
MRADI wa maji wa Tanga – Horohoro unatarajiwa kuhudumia wananchi takribani 57,334 kwenye kata 10 katika vijiji ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wizara mbalimbali ili kuboresha maisha ya wananchi wa Wilaya ya Mkinga. Rais ...
KADRI Tanzania inavyoendelea na harakati za maboresho ya kodi, ni muhimu kufanya tafakuri kuhusu mada kuu zilizojadiliwa ...