SIMBA ya msimu huu chini ya Kocha Fadlu Davids imeonekana moto, ikiusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kulikosa kwa misimu mitatu mfululizo, lakini ikiwa timu pekee iliyosalia katika michuano ...