Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Profesa Kitila Mkumbo akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 16, 2026 wakati wa Kikao cha ...
Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Camillus Wambura akifungua mkutano wa wakuu wa vituo tiba, wahasibu na watendaji wa kikosi cha afya Cha jeshi la polisi, mkutono huo unefanyika mkoani Morogoro.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Profesa Kitila Mkumbo akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 16, 2026 wakati wa Kikao cha ...
Dar es Salaam. Baada ya madai ya baadhi ya wananchi kuwa Ubalozi wa China nchini Tanzania hauna utaratibu mzuri wa kuomba hati ya kusafiria (visa), ubalozi huo umetaja hatua tano za kufuata ili kupata ...
Vitendea kazi vilivyotolewa na Serikali kwa Shirika la Umeme Tanzania(Tanesco), Mkoa wa Lindi kwalengo la kuboresha hutoaji huduma kwa wananchi wa Mkoa huo. Picha na Bahati Mwatesa Lindi. Wananchi wa ...
Meneja Usaidizi Uchumi na Takwimu BoT Mwanza, Paul Lawuo akizungumza wakati wa utoaji wa elimu kwa wananchi wilayani Magu kuhusu mambo ya kuzingatia kabla hawajakopa kupitia programu ya Zinduka ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekutana na mwakilishi wa Jumuiya ya Madola, ambaye pia ni Rais wa zamani wa Malawi, Lazarus Chakwera na ...
Yanga imeendelea kuwa tishio katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo, Alhamisi, Aprili 16, 2026 kuishushia Mbeya City kipigo kikali cha mabao 6-0 katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam ...
Dodoma. Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Ngwisa Mpembe ameiomba Serikali kuwapunguzia viwango vya riba ili kuiinua sekta hiyo na kukuza uchumi wa Taifa. Ametoa wito huo ...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda akizungumza katika kikao cha wafanyabiashara mkoani Mara. Mara. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda ...
Dar es Salaam. Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limetangaza nafasi kwa vijana kuanzia elimu ya sekondari na kuendelea, kuandikishwa katika jeshi hilo. Vijana watakaoandikishwa Jeshi ...
Dar es Salaam. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini vifaa vya ujenzi vya Chuo cha Serikali za Mitaa vyenye thamani ya Sh396.89 milioni vilivyonunuliwa mwaka 2022 ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results