Utawala wa jeshi nchini Uganda umefahamisha kuwa Rais Yoweri Museveni amemkataza mwanae Jenerali Muhoozi Kainerugaba kujiuzulu.Hata hivyo jeshi limesema bado halijapokea taarifa rasmi kutoka kwa ...
Muhoozi Kainerugaba ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mama Janet Museven, ambaye ni waziri wa elimu na michezo tangu mwaka 2016. Ni mume wa Charlotte Nankunda Kutesa aliyemuoa mwaka 1999 ...