Rais William Ruto amewaambia raia katika hotuba ya kitaifa, huku nchi ikikabiliwa na mafuriko mabaya na maporomoko ya ardhi ambayo yameathiri mamia kwa maelfu ya watu. Abdalla Seif Dzungu and Asha ...
Johnson ole Kiyaipi alizikwa kwa heshima kamili ya kijeshi nyumbani kwake Kenya baada ya kuuawa na bomu lililotegwa kando ya barabara nchini Somalia, ingawa jeshi wala serikali haijakiri hadharani ...
Nchini Kenya, Wizara ya Mambo ya Nje iliomba kutolewa kwa shilingi milioni 400 kutoka Bungeni siku ya Alhamisi, Machi 19 - sawa na zaidi ya euro milioni 2.5 - ili kuwarejesha nyumbani raia wa Kenya ...
Rais wa Kenya William Ruto ametahadharisha kuwa hatua ya kuukataa mswada wa fedha wa mwaka 2024 itakuwa na athari kubwa kwa taifa hilo lenye uchumi mkubwa katika kanda ya Afrika Mashariki. Deni kubwa ...
Wataalamu wa kilimo kutoka barani Afrika, wamehusisha mavuno machache ya mazao, ardhi kupoteza rutuba na asidi ya udongo vimechangiwa na athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazoendelea kushuhudiwa ...
Nchini Kenya, jitihada zinawekwa kuboresha hali kwenye magereza, na kuyaimarisha kama vituo vya kurekebisha tabia, hasa wakati huu, wa tishio la watu zaidi kushawishiwa kujiunga na makundi yenye ...